Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TANZANIA KUPAMBANA NA UKOSEFU WA LISHE BORA

 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akisalimiana na mwakilishi kutoka UNICEF katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC.
 
 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akisikiliza kwa makini hoja iliyokuwa ikitolewa na mwakilishi kutoka CIFF katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC.

 Wajumbe kutoka nchi mbali mbali Duniani wakimsikiliza Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya ( hayupo kwenye picha) alipokuwa akiwasilisha mada na kuchangia hoja mbalimbali katika mkutano uliohusu Lishe bora kwa mtoto mjini Washington DC.
 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akitoa mada na kuchangia hoja mbalimbali zinazohusu Tanzania katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC. 
 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akifurahia jambo aliloambiwa na mwakilishi wa UNICEF baada ya kuchangia mada kuhusu Tanzania, katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC.
 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akipongezwa na Mshauri Lishe wa Rais , Dr. Wilbald Lori pamoja na wajumbe kutoka Mataifa mbalimbali mara baada tu ya kumaliza kuwasilisha Mada kuhusu hali ya Lishe Tanzania,mjini Washington DC.
 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akipongezwa na Mshauri  Lishe wa Rais, Dr. Wilbald Lori pamoja na wajumbe kutoka Mataifa mbalimbali mara baada tu ya kumaliza kuwasilisha Mada kuhusu hali ya Lishe Tanzania hapa mjini Washington DC.
 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akijibu  maswali ya baadhi ya wajumbe  waliokuwepo kwenye mkutano huo, mara baada tu ya mkutano wa Lishe mjini Washington DC.
Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akimsikiliza kwa mjumbe aliyekuwa akimuuliza maswali kuhusu hali ya Lishe kwa Tanzania baada ya mkutano wa Lishe mjini Washington DC.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top