Tasnia ya Habari nchini Tanzania imepata pigo kufutia kifo cha Mwanahabari wa TBC kanda ya Kati Dodoma, Samuel Chamlomo (pichani) aliyefariki baada ya kuugua ghafla wakati akitekeleza majukumu yake ya kazi Bungeni mjini Dodoma jana.
Chamlomo alifariki muda mfupi baada ya kuugua ghafla akiwa kazini.
Samuel Chamlomo enzi za uhai wake akiwa katika sare ya kimichezo wakati wa bonanza la kufunga kwama 2014 na kuukaribisha mwaka 2015 mjini Dodoma.
Father Kidevu Blog, inaungana na Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na Wafanyakazi wote wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya kumpoteza ndugu yetu.
Post a Comment