Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BUNGE LALIPUKA KWA FURAHA YA AJABU BAADA YA RAIS JK KUMTAJA HUYU MGOMBEA URAIS... SOMA HAPA LIVE UMJUE!!



 
Katika hali isyokuwa ya kawaida leo Bunge limelipuka kwa furaha kubwa sana pale Rais JK aliyekuwa analiaga na kulivunja bunge alipomtaja mgombea wa sasa wa Urais Waziri Mkuu mstaafu Lowasa,
hali hiyo imewaacha watabiri wa siasa nchini kubaki solemba na kinachokuja kwenye mchujo wa wagombea huko ndani ya CCM Dodoma sasa hivi.
Solomon G. Kadanga aissee lowassa ni rais mtarajiwa...dalili zimeonekana..
Like · Reply · 1 · 33 mins
Hellen Lyimo Wewe hiyo maneno ya kumtoa panya pangoni . Lowasa oyeeeeeeeeeee
Like · Reply · 31 mins · Edited
Benjamin Mbossa nimeona aisee sjui wanaanzaje kumkata
Like · Reply · 1 · 31 mins
Lilly Mbaga Nisingeelewa kitu daaah presha ina pandan.....presha ina shuka acha nifuturu sasa afadhali
Like · Reply · 1 · 23 mins
Mary Mkoka NIKO NASIKILIZA BUNGE.
AISEE LOWASA AMEFUNIKA .
MAKOFI YÀ NGUVU YAMIMINIKA KWA LOWASA BAADA YA KIKWETE KUMSHUKURU LOWASA
Like · Reply · 22 mins
Kiango Mayweather Embu adisieni vizuri jamani wengine tuko mbali
Like · Reply · 22 mins
Mjuni Charles kweli nimeamini!
Like · Reply · 21 mins
TZtv Outlaw Benjamin, Ndio maana inaitwa SIASA maana ya siasa ni Uongo, Kudangaya, Ahadi zisizotimia na Kujinufaisha mwenyewe. Mwanasiasa akipata upenyo kidogo tu anamkata mwenzie hata kama ni rafiki yake. It is called POLITICS my friend, haina guarantee.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top