Repost
@kshertzbongoflava Habari za asubuhi ndugu zangu rafiki zangu mashabiki
zangu na media zote nchini.najua wengi mnajiuliza maswali mengi sana
juu yangu kwanini nimeamua kuingia kwenye siasa lakini leo naomba
nifunguke na kuwaambia kitu.mimi kama mlemavu wa ngozi najikubali
najipenda na ninajiamini lakini yote
tisa
napigana kwa uhuru na amani ambayo tunastahili kuipata kutoka nchini
kwetu.nilipoanza kupost picha zangu za siasa kuna ambao walinipongeza na
kuna ambao walinisema kwamba sina uchungu na wenzangu kwakuwa wanahisi
nimeingia huku kwa ajili ya kujinufaisha mwenyewe mimi ni mpiganaji na
ndomana siku zote nimekuwa nikiwaza kuhusu amani yetu.fimbo ya mbali
haiui nyoka na kidole kimoja hakivunji chawa nikimaanisha kwamba lazima
tusimamie sheria ambazo zitatusaidia kuendeleza amani hivyo basi lazima
tuwe na wawakilishi wa kutosha ndani ya bunge ili sauti zetu zisikike
ili sheria kutungwa na kutekelezwa pia.hivyo mimi kama mtanzania
mwenzenu nahitaji support yenu ili niweze kufikia malengo yetu kwa
yeyote ambaye anaupendo nasi na mimi na harakati zangu anisaidie kwa
chochote ambacho kitanifikisha nnapoataka this is my tigo no 0718785045
na hii ni account number yangu ya crdb 011 2022295800 jina ni hadija
shabani Taya unaweza kuchangia humo na kwa upendo kabisa naomba u repost
hii post kadri muwezavyo ahsanteni shukran @soudybrown @millardayo
@mrekebishatabia @arabicchick900 @esilovey @eshasbuheti
@bikira_wa_kisukuma @stevenyerere2 @new_kajala @wolperstylish
@lamataleah @mwasitij @queendarleen4real @murojr @ms_shamiebasil
@shyrosebhanji @ajkikwete @kajumulotz @realoliviasanare @bdozen
@divathebawse @shamsaford @riyamaally @babutale @diamondplatnumz
@jokatemwegelo @erickwangu @makangalemoja



Post a Comment