Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HAYAWI HAYAWI HATIMAYE……VAN PERSIE KUPIMA AFYA FENERBAHCE


download

Nilikupa taarifa kwamba Fenerbahce wamekubaliana na Manchester united ili Van Persie ahamie kwenye club yao. Kilichobaki ilikua ni kwa Van Persie na yeye ahusishwe kwenye haya mazungumzo.
Kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika, Robin van Persie anajiandaa kufanya vipimo vya afya leo katika klabu ya  Fenerbahce. Kama anafanya vipimo vya afya maana yake mambo  tayari yameshakuwa poa kwa Fenerbahce.
Van Persie anatimka Manchester United majira haya ya kiangazi na kwenda kujiunga na miamba hiyo ya Uturuki.Mshambuliaji huyo wa Uholanzi anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka minne na atapima afya leo mjini London.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top