Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UKAWA WAIVIZIA CCM


Vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi vimekuwa vikisuasua kuteuwa mgombea wao wa urais ili kujionesha kujiamini kwao,Badala yake wanangoja kujua moto wa CCM waupatie  dawa ya kuuzima.Wabunge na viongozi wa umoja huo wamejipanga kuchagua jina la mgombea siku ya jumamosi hii.Siasa za mgombea zimazima CCM zinaweza kuwa dalili si nzuri sana kwenye  ushindani.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top