Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LOWASA APETA MAADILI, MEMBE MAKONGORO RAMADHANI HATI HATI


Taarifa za kutoka ndani za kikao cha Maadili kilichoendelea mjini Dodoma kimeonyesha njia Salama kwa baadhi ya Makada wa CCM na pia kuwa kichungu kwa Wengine. Makada wa ccm waliopeta kwa urahisi ni Edward Lowassa, Gharibu Bilal na Asha Rose Migiro. 
Makada walio kutana na kikwazo cha kamati ya Maadili ni Bernad Membe ambaye Amekutwa na tuhuma za Rushwa zisizo na kificho katika mtanange wa kusaka Udhamini. Taarifa ya Usalama na TAKUKURU ambao ni walikwa zimefanana bila hiana kwa Baadhi ya Wagombea ambao walidiriki kutumia Rushwa kupata wadhamini wameanikwa bila kificho mkoa kwa mkoa, 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top