Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BOSI WA MANCHESTER ATUA BARCELONA KUMALIZA ISHU YA PEDRO


Bosi wa Manchester United, Ed Woodward ametua jijini Barcelona kumalizana na FC Barcelona kutumia dau la pauni milioni 22.
Jana Pedro aliichezea Barcelona katika mechi ya pili ya Athletico Bilbao iliyomalizika kwa sare ya mabao 1-1.
Taarifa zinaeleza kwamba Pedro amekubali kujiunga na Manchester United kwa kuwa anaonekana hana furaha na Kocha Louis Enrique.(VICTOR)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top