Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BUNGE LA VIJANA LAENDELEA BUNGENI DODOMA


 Afred Salwa (MZUMBE) akiwasilisha Mchango wake kuhusu Muswada wa Baraza la Vijana la Taifa wa Mwaka 2015  wakati wa kipindi cha majadiliano kwenye Bunge hilo

 Wajumbe wa Bunge la Vijana wakishiriki Vikao vya Bunge hilo Mjini Dodoma
 Waziri Mkuu katika Bunge la Vijana kwa mwaka 2015 Alexandra Wasonga (ARDHI) akijibu Maswali ya papo kwa papo Bunge wakati wa Kipindi cha Masuali kwa Waziri Mkuu
 Waziri kivuli wa Vijana kutoka Kambi Pinzani kwenye Bunge la Vijana Bi. Joyce Shirima akielezea baadhi ya Mapendekezo ambayo yanastahili kuingizwa kwenye Muswada wakati wa Majadiliano Bungeni
 Mbunge wa Bunge la Vijana Shughaib Abdi (CBE) akielezea baadhi ya mapungufu yaliyopo katika Muswada huo wakati wa Mjadala wa kujadili Muswada huo Bungeni
Mwanasheria Mkuu katika Bunge la Vijana kwa mwaka 2015 Gama Zulu Leonidas (SAUT) akiwasilisha Muswada wa Serikali wa Kuanzisha sheria ya Baraza la Vijana la Taifa wa Mwaka 2015 Bungeni jana. 
 Spika wa Bunge la Vijana kwa mwaka 2015 Baraka Thomas (UDSM) akiongoza vikao vya Bunge
 Daudi Maneno (MUST) nae akitoa dukuduku lake wakati wa Majadiliano Bungeni
 Spika wa Bunge la Vijana kwa mwaka 2015 Baraka Thomas (UDSM) akiwa na wasaidizi wake
Mmoja wa wabunge akichangia hoja. Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top