Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo mchana,katika
Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam
kuhusiana na uteuzi wa wa wagombea Ubunge wa majimbo 11 nchini
yaliyokuwa yamebakia
Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa leo Agosti
17, 2015 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika katika Ofisi
Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam chini ya
Mwenyekiti wa CCM Rais Dokta Jakaya Mrisho Kikwete imefanya uteuzi wa
Wagombea Ubunge katika majimbo 11 nchini yaliyokuwa yamebakia.
1. Ndugu Jerry Slaa - (Ukonga) Dar es Salaam
2. Ndugu Edward Mwalongo - (Njombe Kusini) Njombe
3. Ndugu Venance Mwamoto - (Kilolo) Iringa
4. Ndugu Raphael Chegeni - (Busega) Simiyu
5. Ndugu Edwin Ngonyani - (Namtumbo) Ruvuma
6. Ndugu Mohamed Mchengerwa - (Rufiji) Pwani
7. Ndugu Norman Sigara - (Makete) Njombe
8. Ndugu Martin Msuha - (Mbinga Vijijini) Ruvuma
9. Ndugu Joel Makanyanga Mwaka - (Chilonwa) Dodoma
Imetolewa na:-
Nape Moses Nnauye,
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,
ITIKADI NA UENEZIKATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,
17/08/2015
Post a Comment