Baada ya Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dsm kupiga marufuku Wagombea wa vyama vya siasa kufanya vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama wa wananchi katika maeneo mbalimbali ya jiji kama alivyofanya mgombea wa uraisi wa Chadema kwa kutembelea Gongo la mboto na kupanda daladala jambo ambalo limeleta taharuki pamoja na kusababisha shughuli za watu kusimama. Afisa habari wa Chadema, Tumaini Makene amesema Jeshi la polisi haliwezi kuwapangia nini cha kufanya. Wataendelea kufanya mikakati yao watakayoipanga ili mradi hawavunji sheria za nchi na sheria za uchaguzi.
Loading...
CHADEMA "JINO KWA JINO" NA POLISI

BLOG RAFIKI
-
-
-
-
Alfajiri8 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment