Diamond akiwa studio jijini Johannesburg kuandika na kurekodi sehemu ya wimbo huo
Mafikizolo tayari wameshaingiza sauti zao na aliyekuwa anakisubiriwa ni Diamond ambaye huenda leo akamaliza sehemu yake.
Studio
Joburg South Africa Muda huu nikirecord nyimbo kwajili ya kutokomeza
Umasikini Africa.... #TellEveryone #SustainableDevelopment
@TheGlobalGoals,” ameandika Diamond kwenye picha aliyoweka Instagram.
Fresh
kutoka kurekodi wimbo na Ne-Yo, Diamond Platnumz amekwea pipa kutoka
Nairobi kwenda nchini Afrika Kusini kuungana na Mafikizolo kurekodi
wimbo uitwao ‘Tell Every One’ ambao ni sehemu ya kampeni ya dunia ya
kutokomeza umaskini, maradhi, njaa na matatizo mengine, The Global
Goals.
Post a Comment