|
Mgombea Kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea nyaraka mbalimbali ikiwemo Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Sheria ya Taifa ya Uchaguzi,Maelekezo kwa wagombea wa vyama vya siasa, Maadili
ya Uchaguzi toleo la mwka 2015 na sheria na kanuni za gharama za uchaguzi
kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa Uchaguzi Damian Lubuva, mapema leo
kwenye ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jijini Dar es Salaam.
|
|
Mgombea Urais Kupitia
Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Jaji Mstaafu
na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa Uchaguzi Damian Lubuva wakati wa kurejesha Fomu
za kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mapema leo
kwenye ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jijini Dar es Salaam.
|
|
Mgombea Kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea nyaraka mbalimbali ikiwemo Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Sheria ya Taifa ya Uchaguzi,Maelekezo kwa wagombea wa vyama vya siasa, Maadili
ya Uchaguzi toleo la mwka 2015 na sheria na kanuni za gharama za uchaguzi
kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa Uchaguzi Damian Lubuva, mapema leo
kwenye ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jijini Dar es Salaam.
|
on Saturday, August 22, 2015
Post a Comment