Watanzania
wanaoishi nje ya nchi watakiwa kuacha woga wa kuwekeza nyumbani huku
wakitakiwa kuondokana na kasumba ya kwamba nyumbani kuna matatizo
mengi. http://youtu.be/7fJnOQBNfyk
Wanafunzi wawili wapoteza maisha Mkoani Singida baada ya kugongwa na pikipiki muda mfupi baada ya kutoka darasanihttp://youtu.be/vi_ iH8rPCDk
Mamlaka
ya mapato Tanzania TRA yakutana na wadau wa michezo lengo kujadili kwa
pamoja sheria mpya ya ongezeko la dhamani inayolipwa na makocha na
wachezaji. http://youtu.be/hwiKFJ4zMI8
Tanzania
yabainika kua miongoni mwa nchi zinazotoa huduma bora ya usafiri wa
anga ikiringanishwa na nchi nyingine za ukanda wa Afika Mashariki. http://youtu.be/CJCKT5av_Co
Zaidi ya wakazi 13,700 katika mikoa ya Pwani na Morogoro waanza kufaidika na miradi mipya ya maji iliyozinduliwa.http://youtu.be/YhD3DKopHTw
Kampuni
ya Azam media yazindua rasmi huduma mpya ya Azam Sports HD itakayo
onesha ligi kuu ya Hispania pamoja na michezo mbalimbali. http://youtu.be/vu3NCk65Dl4
Raisi Kikwete asaini hati za maadili kwa viongozi wa umma na sekta binafsi nchini leo hii jijini Dar es salaam. http://youtu.be/bsieNN--2G4
Raisi
Jakaya Kikwete aongoza mamia ya wakazi wa Wilaya ya Mwanga katika
mazishi ya aliyekuwa Mwasisi wa Tanu na Asp Peter Kisumo. http://youtu.be/64_P7M_7pKI
CCM
chakanusha taarifa zilizo sambazwa mitandaoni juu ya ahadi inayosemekana
kutolewa na Dr.Magufuli kuwapa Laptop walimu wote nchini. http://youtu.be/5AcB8GGwHyY
Askofu mmoja wa kanisa la Tanzania Evangelism huko Shinyanga ahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la ubakaji.http://youtu.be/G3nf-I3XgUE
Uchimbaji wa gesi asilia Mkoani Mtwara walalamikiwa kupelekea uchafuzi wa mazingira kufuatia kuzagaa kwa tala ngumu.http://youtu.be/QTksCMn7QW4
Taasisi
ya kuzua na kupambana na rushwa yawafikisha mahakamani afisa ugavi wa
halimashauri ya jiji la Mwanza kwa tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi. http://youtu.be/4c4l8ePGF5s
Wanawake
wanao nyonyesha watakiwa kuzingatia lishe bora ili kuepukana na
matatizo yanayoweza kuwapata watoto pindi wanapozaliwa. http://youtu.be/m_tyDgA1J3Y
Jeshi
la wananchi watanzania JWTZ,lakanusha taarifa zilizo sambazwa na
wanansiasa nchini juu ya kukusanya shahada za askari wakehttp://youtu.be/ wVlbgIM6AVM
Bodi
ya mikopo ya elimu ya juu nchini HESLB,yalia na wahitimu wasio rejesha
mikopo kwenye bodi hiyo kwani wanawakosesha fursa wananfunzi wengine. http://youtu.be/Tz1WMrFQT2c
Wananfunzi
wa shule ya msingi Maili moja iliyoko Pwani waiomba serikali kuwajengea
madarasa kufuatia uhaba wa vyumba vya madarasa shuleni hapo. http://youtu.be/JqeZhDff1KA
Tume
ya uchaguzi nchini NEC yasema wagombea wa urais na umakamu wanapaswa
kurejesha fomu za kuwania nafasi hizo ifikapo agosti 21. http://youtu.be/xA9e-17byVY
CCM
yasema kua kitendo cha wanachama wake kuhamia vyama pinzani hakiwatishi
na sio mwanzo kwani viongozi wengi walioko vyama pinzani pia walitokea
CCM. http://youtu.be/QheV8QhDpC8
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa azindua viwanja 5 vya michezo katika shule ya sekondari ya Nyamkumbu mkoani Geita. http://youtu.be/HeEJx8lLa1w
Benki
ya NMB mkoani Iringa yakabidhi madawati 55 kwa shule ya sekondari ya
Isimani iliyopo wilayani Iringa ikiwa ni sehemu ya madawati 163
yaliyotolewa na benki hiyo. http://youtu.be/GXya8Olye6o
Baadhi
ya wanafunzi wa kike katika shule ya sekondari Selou iliyoko mkoani
Ruvuma wakumbwa na ugonjwa usiofahamika wa kutikisa kichwa kisha
kuanguka hovyo. http://youtu.be/b9xRkg6NAPU
Katika
kuimarisha safu ya ulinzi katika klabu ya soka ya Simba washambuliaji 3
kutoka nchi za Burundi na Mali wasajiliwa kuiasaidia katika ligi kuu
bara. https://youtu.be/63IrF7_iUk0
Post a Comment