Bruno Coleman Kimaryo, alikuwa akijiita majina mengi ya bandia na kutukana sanakwenye mitandao ya kijamii hatimaye safari ameingia mwenyewe choo cha kike na kunaswa na Serikali, haya ni baadhi ya majina ya bandia aliyokuwa akiyatumia kurushia maneno ya chooni huko facebook:- Bruno KIMS.....aka Wegesa Ole Sugutu.
STATEMENT YA POLISI
Huu ndio ujumbe aliouandika kwenya FACEBOOK na kuutuma kwenye Group la TANURU LA FIKRA
Post a Comment