Baadhi
ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema wakimsikiliza Maalim Seif wakati
akihutubia kwenye mkutano huo. Kulia ni Mke wa Mgombea Urais wa Tanzania
kupitia Chadema, Mama Regina Lowassa.
Mwenyekiti
wa Chadema Freema Mbowe (wa pili kushoto) akiwatambulisha mgombea Urais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema Mhe. Edward Lowassa,
mgombea mwenza wake Mhe. Juma Duni Haji na Mgombea Urais wa Zanzibar
kupitia CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema Mhe. Edward
Lowassa, akiwa na mgombea mwenza wake Mhe. Juma Duni Haji.
Wagombea
urais wanaowakilisha UKAWA wakibadilishana mawazo baada ya mkutano mkuu
wa Chadema. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Freeman Mbowe.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema Mhe. Edward
Lowassa akisalimiana na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA Bw. James Mbatia.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema Mhe. Edward
Lowassa, akisalimiana na mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF Mhe.
Maalim Seif Sharif Hamad.
(Picha na Salmin Said, OMKR)
Post a Comment