Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza
Mhe Samia Suluhu Hassan na wakilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya
Mrisho Kikwete na viongozi wengine akipokewa katika ofisi ndogo ya CCM
Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam baada ya kutoka Tume ya Uchaguzi
kuchukua Fomu za kugombea Urais leo agosti 4, 2015.
Mwenyekiti wa
Chama cha Mapinduzi Dk Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Mgombea wa Urais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk
Magufuli alipowasili katika Viwanja vya Afisi ya CCM Lumumba Dar mchana
huo.
Mwenyekiti wa
CCM Dk Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mgombea wa Urais wa CCM Dk
Magufuli alipowasili viwanja vya CCM Lumumba mchana huo.
Mgombea Mweza
wa Urais wa Tanzania Samiha Sululu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa
CCM Dk Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM
Lumumba baada ya kurejea kuchukua Fomu ya kugombea Urais Tume ya
Uchaguzi.
Mgombea
Mweza wa Urais wa Tanzania Samiha Sululu Hassan akisalimiana na
Mwenyekiti wa CCM Dk Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili katika viwanja
vya Afisi ya CCM Lumumba baada ya kurejea kuchukua Fomu ya kugombea
Urais Tume ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu wa
CCM Abdullraham Kinana akiwahutubia wananchi wa Mkoa wa Dar-es-Salaam
katika viwanja vya Afisi ya CCM Lumumba wakati wa hafla ya kuchukua fomu
ya kugombea Urais Dk John Magufuli na Mgombea wake Mwenza Samiha Suluhu
Hassan.
Mwenyekiti wa
CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia Wananchi wa Mkoa wa
Dar-es-Saalam wakati wa hafla ya kumpokea Mgombea wa CCM akichukua fomu
ya kugombea Urais wa Tanzania mkutano huo umefanyika katika Afisi Kuu ya
CCM Lumumba Dar.
Mgombea Urais
wa Tanzania Dk John Magufuli na Mgombea wake Mwenza Samiha Suluhu Hassan
wakipanda katika jukwaa kusalimiana na Wananchi na kuonesha fomu yake
ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM.
Mgombea Mwenza
wa Urais wa Tanzania Samiha Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa
Mkoa wa Dar-es-Salaam wakati wa kurejea kuchukua fomu ya kugombea Urais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM.
Post a Comment