Mnara ya
Kumbukumbu ya Maspinduzi Zanzibar ukiwa katika hatua za mwisho ya ujenzi
wakeMnara huo una urefu wa mita 35 kwenda juu, unaojengwa kwa mradi wa
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF. ulioko katika viwanja vya
michezani Zanzibar.
Mkurugenzi wa
Mfuko wa Jamii Zanzibar (ZSSF) Ndg. Adulwakil Haji Hafidh, akitowa
maelezo ya ujenzi wa Mnara huo wakati wa ziara ya Waziri wa Fedha
Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee alipofika kuutembelea Mnara huo kujionea
kazi za umaliziaji wa ufungaji wa vifaa kwa hatua za mwisho za ujenzi
wake, Wakiwa katika moja gorofa ya juu ambayo itakuwa ni mgahawa wa aina
yake utakuwa unazunguka kuangalia mandhari ya eneo hilo.
Waziri wa
Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee akizungumza na Wajumbe swa Bodi ya
Udhamini wa ZSSF na Uongozi wa Mfuko huo kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya
ZSSF Dk. Suleiman Rashid akimsikiliza Waziri Omar akitowa maelekezo kwa
Wajumbe wa Bodi jinsi ya kuuendesha Mnara huo kibiashara,
Waziri wa
Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya
ZSSF na Uongozi wa ZSSF wakati wa ziara yake kutembelea kuona maendeleo
ya mwisho ya ujenzi wa Mnara huo wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Zanzibar.
Mkurugenzi
Muendeshaji wa ZSSF Ndg Abdulwakil Haji Hafidh akimtembeza Waziri wa
Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee alipofika kuangalia ujenzi huo ukiwa
katika hatua za mwisho za ujenzi wake unaofanywa na Kampuni ya Ujenzi
kutoka China.
Waziri wa
Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Ndg,
Abdulwakili Haji Hafidha na Wajumbe wa Bodi ya ZSSF wakitembelea Ujenzi
wa Mnara huo wakati wa ziara ya Waziri wa Fedha.
Waziri wa
Fedha akitembelea mnara huo akiwa katika sehemu itakayokuwa na ATM za
Benki ya Watu wa Zanzibar itatoa huduma za kibenki kupitia mashine za
ATM kwa Wananchi wanaofika katika Mnara huo.
Waziri Yussuf akitembelea eneo la mnara huo wakati wa ziara yake. akiwa na Wajumbe wa Bodi na Uongozi wa ZSSF Zanzibar.
Sehemu ya
Chumba cha Picha za kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar ilioko katika
Mnara huo sehemu ya chini ambayo itakuwa na mapicha mabilimbili
yanayoonesha historia ya Zanzibar na chuma cha sinema ya kumbukumbu ya
Zanzibar.
Sehemu ya
Mgahawa katika Mnara huo ambayo inazunguka kuweza kuangali sehemu ya
mandhari ya maeneo hayo ukiwa unapata huduma ya Mgahawa.
Wajumbe wa
Bodi ya ZSSF na Uongozi wakiwa sehemu ya juu ya Mnara huo wakati wa
ziara ya Waziri wa Fedha Zanzibar, alipotembelea mnara huo.
Mjumbe wa Bodi
ya ZSSF Ndg Mohammed Baloo akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF
wakati wa ziara ya Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee.
Waziri wa
Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee akiwa katika picha ya opamoja na
Viongozi wa Bodi na Uongozi wa ZSSF. baada ya zuiara yake kutembelea
Mnara wa Kumbuykumbu ya Mapinduzi Zanzibar.
Post a Comment