Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Mchemba wakati
alipowasili kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa Kivuko cha Mv. Mafanikio
mkoani Mtwara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana akisalimiana na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Mtwara Nurdin
Mangochi kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa kivuko cha Mv. Mafanikio
mkoani Mtwara.
Waziri
wa Ujenzi Dk.John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kuzinduliwa kwa
kivuko cha MV. Mafanikio kitakachokuwa kinatoa huduma kati ya Msemo feri
Mtwara mjini kwenda Msanga Mkuu,Mtwara vijijini,Kivuko hicho
kilichogharimu kiasi cha bilioni 3.3 na kina uwezo wa kupakia abiria 100
na mzigo wenye uzito wa tani 50.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na wananchi wa Mtwara waliojitokeza kwa wingi kuja
kushuhudia uzinduzi wa kivuko kipya cha Mv. Mafanikio.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwekajiwe la msingi kama ishara ya uzindua kivuko cha Mv.Mafanikio.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akibonyeza kitufe kama ishara ya kuanza kutumika kwa kivuko cha
Mv.Mafanikio kitakachokuwa kinafanya safari zake kutoka Mtwara Feri
kwenda Msanga Mkuu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata
utepe kwenye uzinduzi wa Kivuko cha Mv. Mafanikio mkoani Mtwara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza wakati akiwa safarini kwenda kata ya Msanga Mkuu, Mtwara
vijijini kwa kutumia kivuko kipya cha Mv. Mafanikio ikiwa sehemu moja ya
utekelezaji wa ahadi zake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kata ya Msanga Mkuu,Mtwara vijijini.
Kivuko cha Mv. Mafanikio
Sheikh Mkuu wa
Mkoa wa Mtwara Sheikh Nurdin Mangochi akitoa dua maalum kabla ya kuanza
kwa mkutano na wananchi wa kata ya Msanga Mkuu.
Mkurugenzi
Mtendaji wa TEMESA Mhandisi Marcelin Magesa akitoa taarifa fupi za
kivuko cha Mv. Mafanikio kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya
Msanga Mkuu,Mtwara Vijijini.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Halima Dendego akitoa salaam za mkoa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Msanga Mkuu .
Mbunge
wa Jimbo la Mtwara Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa Mhe. Hawa Ghasia akizungumza kwenye mkutano huo
Waziri
wa Ujenzi Dk.John Pombe Magufuli akihutubia kwenye mkutano na wananchi
wa Msanga Mkuu, Mtwara vijijini mara baada Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuzindua kivuko cha Mv.
Mafanikio
Waziri
wa Ujenzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Msanga Mkuu
ambao leo wamekuwa na furaha kupata kivuko cha Mv. Mafanikio ambacho
kitasafirisha wanafunzi wenye sare bure pamoja na walemavu.
Mwananchi wa Msanga Mkuu akionyesha uzalendo kwenye mkutano wa uzinduzi wa kivuko kipya cha Mv. Mafanikio.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akihutubia wananchi wa Msanga Mkuu , Mtwara Vijijini mara baada ya
kuzindua kivuko kipya.
Bango la kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Ndugu Nehemia Mchechu akihutubia
kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi wa nyumba mpya 30 zilizopo
Shangani mkoani Mtwara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka
jiwe la msingi la ujenzi wa Nyumba 30 za Shirika la Nyumba la Taifa
zilizopo Shangani mkoani Mtwara,kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
nyumba la Taifa Ndugu Nehemia Mchechu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Nyumba 30 za Shirika la Nyumba la
Taifa zilizopo Shangani mkoani Mtwara,kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la nyumba la Taifa Ndugu Nehemia Mchechu na kushoto ni Mama Salam Kikwete na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Hawa Ghasia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akipata maelekezo ya mchoro wa nyumba 30 za Shirika la Nyumba la
Taifa zilizopo Shangani mkoani Mtwara kutoka kwa Mkurugenzi wa ujenzi wa shirika hilo Ndugu Haikaman Mlekio
Hizi ndio sehemu ya nyumba 30 za Shirika la Nyumba la Taifa zinazojengwa Shangani mkoani Mtwara
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la nyumba la Taifa Ndugu Nehemia Mchechu mara baada ya kukagua
maendeleo ya ujenzi wa nyumba 30 zilizopo Shangani mkoani Mtwara
zinazojengwa kwa thamani ya shilingi bilioni 4.9
Loading...
Home » Unlabelled » KIKWETE AZINDUA KIVUKO CHA MV. MAFANIKIO MTWARA NA KUWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA NYUMBA 30 ZA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA SHANGANI MKOANI MTWARA
Post a Comment