Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LIGI KUU ENGLAND : LIVERPOOL WASHINDA


Majogoo wa Jiji Liverpool wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya AFC Bournemouth katika mechi pekee ya ligi kuu ya England iliyomalizika usiku huu uwanja wa Anfield.
Bao pekee la kikosi hicho cha Brendan Rodgers limefungwa dakika ya 26' na straika wake mpya, Christian Benteke akimalizia pasi nzuri ya Jordan Henderson
Unaweza kusema Benteke amefungua akaunti ya magoli Liverpool kwani amefumania nyavu katika mchezo wake wa kwanza.
Hata hivyo, Phillipe Coutinho alifunga goli la kuongoza, lakini refa alikataa kwasababu Mbrazil huyo alikuwa ameotea.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top