Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akipokea fomu
za tume ya Taifa ya Uchaguzi kkugombea nafasi hiyo, kwenye Uchaguzi
Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana
na Mkurugenzi wa tume ya Taifa ya Uchaguzi, Kailima Ramadhan Kombwey,
baada ya kukabidhiwa fomu za tume hiyo za kugombea kiti cha Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Agosti 10, 2015. Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama cha
Wananchi CUF na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif.
MGOMBEA
wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA)
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
amechukua fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ya kuwania nafasi hiyo
leo Jumatatu Agosti 10, 2015.
Msafara
wa Mgombea huyo ulioanzia kwenye Ofisi za Chama cha Wananchi CUF
Buguruni na kuishia kwenye Ofisi za CHADEMA Kinondoni Jijini Dar es
salaam na kupelekea msongamano mkubwa wa watu ambao wengi wao ni wafuasi
wakuu wa vyama vinavyounda UKAWA, na kufanya shughuli mbali mbali
kusimama kwa muda wa takribani saa saba.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na
Maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, wakati alipofika kuchukua Fomu ya
kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika
Octoba 25, mwaka huu.
Umati
wa watu wakiwemo wafuasi wa vyama vya Siasa vinavyounda UKAWA ukiwa
Umefurika kwa wingi kwenye Barabara ya Uhuru, Jijini Dar es salaam
kumsindikiza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
na Mgombea Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni, walipokuwa wakielekea Tume
ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya kuwania Urais wa Tanzania kwenye
Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba 25, mwaka huu. PICHA ZOTE NA
OTHMAN MICHUZI.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza
wake, Dkt. Juma Haji Duni wakiwapingua maelfu ya wafuasi wa vyama vya
Siasa vinavyounda UKAWA, jijini Dar es salaam, Augusti 10, 2015,
walipokuwa wakielekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya kuwania
Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba
25, mwaka huu.
Mh.
Lowassa na Mh. Duni wakiwapungia maelfu ya wafuasi wa vyama vya Siasa
vinavyounda UKAWA nje ya Makao Makuu ya Chama cha CUF, Buguruni jijini
Dar.
Sehemu ya Wapenzi wa vyama vinavyounda UKAWA wakiushangilia Msafara wa MGOMBEA
wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA)
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
wakati akielekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya
kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika
Octoba 25, mwaka huu.
Buhuruni Rozana.
MGOMBEA wa Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na
Katibu
Mkuu wa Chama cha
Wananchi CUF na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif mara baada
ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya Chama cha CUF, Buguruni Jijini Dar es
salaam.
MGOMBEA wa Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Mh. Freeman Mbowe, huku Katibu Mkuu wa Chama cha
Wananchi CUF na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif akishuhudia.
Mh.
Freeman Mbowe, Mh. Tundu Lissu na Mh. James Mbatia wakiwa kwenye magari
yao wakati wakimsindikiza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni,
walipokuwa wakielekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya kuwania
Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba
25, mwaka huu.
Barabara ya Uhuru, Jijini Dar.
Barabara ya Bibi Titi Mohamed, Jijini Dar.
Barabara ya Uhio.
Hakuna alietaka kupigwa na tukio hili.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza
wake, Dkt. Juma Haji Duni wakiwapingua maelfu ya wafuasi wa vyama vya
Siasa vinavyounda UKAWA, jijini Dar es salaam, Augusti 10, 2015,
walipokuwa wakielekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya kuwania
Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba
25, mwaka huu.
Mgombea
mwenza wa Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Dkt. Juma Haji Duni akiwapungia wafuasi wa vyama vya Siasa
vinavyounda UKAWA, jijini Dar es salaam, Augusti 10, 2015, walipokuwa
wakielekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya kuwania Urais wa
Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba 25, mwaka
huu.
Post a Comment