Waziri
Mkuu Mstaafu Lowassa, Akizungumza na wananchi pamoja na wafuasi wa
chama hicho Jijini Mwanza katika Viwanja vya Furahisha Kirumba. (PICHA
ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa UJIJIRAHAA BLOG.
Mwenyekiti
wa Chama hicho Mbowe (kulia) akiwa juu ya Gari akiwasalim wanachama wa
Chama hicho alipokuwa akiwasili viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza na
kushoto ni aliyewa Mbunge wa Jimbo la Kahama, mkoani Shinyanga, James
Lembeli kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) aliye timkia Chadema.
Lowassa
akiwapungia mkono wananchi na wafuasi wa Chama hicho alipokuwa akiingia
katika viwanja vya Furahisha, Kirumba Jijini Mwanza
Lowassa akisalimiana na Mwenyekiti wake
Viongozi wa Chama hicho wakiwa wamesimama wakati walipokuwa wakiimba wimbo wa Taifa
Lowassa wakiteta jambo na Mwenyekiti wa Chama hicho
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akiteta jambo na Lowassa katika viwanja vya Furahisha
Askari wa Jeshi la Polisi walipata wakati mgumu wakihakikisha usalama unakuwepo katika maeneo hayo
Walinzi
wa Lowassa wakihakikisha usalama unakuwepo katika Gari la Kiongozi huyo
na wengine wakitaka wampe mikono na wakatumia kamba.
Mapacha waungana
Mikono wa wafuasi hao wakipunga mikono
Wengi wajitokeza mapokezi ya Lowassa
Kabla hajafika Kiongozi huyo katika viwanja vya Furahisha
Sehemu ya uwafuasi na wanachama
Post a Comment