Eti jamani hicho hapo mkononi kwa mtoto Tiffah ni nini?
Kuna
mabishano eti wengine wanadai ni hirizi? Mie nimebisha aisee kwa
udhungu alio nao mama ake sidhani kama anaamini hayo mambo!! Embu nijuze
basi...
Majibu ya Wadau yalikuwa Haya:
mossyfimbo
Hiyo
sio hirizi ni kitu kina itwa MVUJE unaufunga kwenye kitambaa cheusi
kisha wamfunga mtoto mkononi ni imani tu kuwa mtoto asisumbuliwe na
mapepo machafu kwa kuwa unanuka vibaya unaharufu mbaya sana kwa hiyo
pepo chafu au baya haliwezi kumkaribia mtoto ni imani za miaka nenda
rudi sasa kaka bibi kamfunga Dai au Zari hawezi sema chochote lakini
ukifunga kwenye kitambaa ile harufu huwezi isikia kabisa. Hata mimi
nilisikia kwa wazazi wangu nami na copy kuandika hapa labda kuna
mwingine anajua kwa maana tofauti.
on Wednesday, August 19, 2015
Post a Comment