Wakati
wa sherehe ya kumuaga Rais Kikwete iliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi,
Rais kikwete alimpa somo Lowasa kwa kueleza kuwa mtu akiwa Waziri
hapaswi kujisifia kuwa amelifanya jambo Fulani yeye binafsi katika nchi
wakati Waziri hufanya kazi kwa niaba ya Rais. Alitolea mfano huo
alipokuwa anamsifia Waziri Pombe Magufuli ambaye pamoja na kazi nzuri ya
ujenzi wa Barabara lakini wakati wote amekuwa hajisifii kuwa anafanya
yeye binafsi. Uchunguzi unaonesha kuwa Rais alikuwa anampa somo hilo
Lowasa ambaye anajitapa kuwa alijenga UDOM wakati wazo hilo ni la JK
mwenyewe binafsi wala halikuwa ktk ILANI YA CCM
on Wednesday, August 19, 2015
Post a Comment