Kama
unaitafuta akaunti ya Instagram ya Fid Q kuanzia jana bila mafanikio
basi fahamu kuwa hackers wameitaifisha, kufuta picha zake zote na
kuigeuza kuwa ya Wema Sepetu.
Akaunti hiyo ina followers zaidi 160,000.
“Account hii imekuwa hacked jana usiku ila mimi nimegundua leo asubuhi,” Fid ameiambia Clouds FM.
“Niligundua baada ya kuingia katika account ikawa inanigomea. Mimi nilikuwa nimeandika mwanaharakati, sasa naona wameamua kubadili na jina na kuandika jina la Wema Sepetu,” alisema.

Post a Comment