Mwenyekiti wa wenyeviti ccm Taifa na mwenyekiti wa mkoa wa singida Mhe Mgana Msinda akiwasalimia wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA |
Mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM, Mgana Msindai jana alijiunga na Chadema na kutambulishwa katika mkutano wa Baraza Kuu la Chadema.
Mgana,
ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Iramba Mashariki (2000-2010)
alitambulishwa pamoja na Mbunge wa Arumeru Magharibi (CCM), Goodluck Ole
Medeye na ofisa mwandamizi wa chama hicho, Matson Chizii.
Post a Comment