Wananchi
waliojitokeza katika tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana
Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na
lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza
kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba
25, 2015.
Msanii
Msagasumu akimwaga sumu kwa wakazi wa Mbagala na Vitongoji vyake
waliojitokeza katika tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana
Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na
lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza
kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba
25, 2015.
Shangwe kila kona....
Wasanii wa Bongo Movie nao waliunga mkono harakati za Mabadiliko...
Mhe. Joseph Mbilinyi akiwa na Msanii wa Bongo Moive, Anti Ezekiel.
Wazee
wa Isanga Family kutoka Mbeya nao hawakuwa nyuma kutoa ujumbe wao katika
tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015
Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la
kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura
kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Msanii
AT kutokea Zanzibar akimwaga burudani katika tamasha la 'Democracy in
Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya
Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa
kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,
Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Msanii
wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule “Professa J” (kulia) akiteta
jambo na wasanii wenzake Kala Jeremiah (kushoto) na Ney wa Mitego (Kati)
katika tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015
Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la
kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura
kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Show love ya wasanii...
Msanii
wa Muziki wa Kizazi kipya, Kala Jeremiah akiwapa wananchi ujumbe katika
tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015
Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la
kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura
kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Msanii
Ney wa Mitego akitoa burudani katika tamasha la 'Democracy in Dar'
lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem,
Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi
kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na
madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Msanii Roma Mkatoriki akitoa burudani...
Msanii wa Bongo Movie Shamsa Ford nae alikuwepo kusapoti mabadiliko na kuwasisitiza wananchi wajitokeze kupiga kura.
Msanii
wa Kizazi kipya, ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi a.k.a
Sugu akitoa burudani tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana
Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na
lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza
kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba
25, 2015.
Msanii
Profesa Jay, ambaye ni mtia nia wa Ubunge kwa jimbo la Mikumi
akiburudisha katika tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana
Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na
lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza
kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba
25, 2015.
Msanii
wa Kizazi kipya, Juma Nature mtoto wa Mbagala akitoa burudani tamasha
la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye
viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki
wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa
Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Wasanii
Nguri wa Muziki wa Kizazi Kipya, Joseph Haule a.k.a Profesa Jay na
Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu wakishow love mara baada ya kumaliza kuwapa
elimu na burudani wakazi wa Mbagala na vitongoji vyake.
Marafiki wakifurahi mara baada ya kumalizika kwa tamasha hilo.
Post a Comment