Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete
akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala
Bora katika sherehe ya kumuaga mara baada ya kumaliza uongozi wake
katika Serikali ya awamu ya nne.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea
zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
Bw.Tom Nyanduga katika Sherehe iliyoandaliwa na Tume ya kumuaga mara
baada ya kumaliza Uongozi wake.
Mwenyekiti
wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw.Tom Nyanduga akizungumza
katika sherehe ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kumaliza utawala wake katika serikali ya awamu ya nne ,ndani ya ofisi za tume hiyo.
Baadhi
ya viongozi wa Serikali pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Baadhi ya
wafanyakazi wa
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika Sherehe ya kumuaga
baada ya kumaliza uongozi wake katika serikali ya awamu ya nne.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
mara baada ya kuwasili katika ofisi yao.
Post a Comment