Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi Bukoba waliofika
kwenye Mkutano wa Kampeni, kusikiliza sera zake, uliofanyika kwenye
Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera leo Septemba 19, 2015.
Umati wa
Wananchi wa Mji wa Bukoba ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Aghakhan
kuhudhulia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
leo Septemba 19, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwanadi baadhi ya wagombea wa Udiwani
wa vyama vinavyouda UKAWA, kwenye Mkutano wa Kampeni, kusikiliza sera
zake, uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera
leo Septemba 19, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na mmoja wa wadau wa
Mabadiliko, Prof. Azaveli Rwaitama, katika Mkutano wa Kampeni,
uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera leo
Septemba 19, 2015.
Aliekuwa
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Jijini Mwanza, Mh. Ezeckiel Wenje
akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa
Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba,
Mkoani Kagera leo Septemba 19, 2015.
Mke wa
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia CHADEMA, Willfred
Lwakatare, akimuombea Mumewe Kura kwa Wananchi wa Mji wa Bukoba, wakati
wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera leo
Septemba 19, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimpongeza Mke wa Mgombea Ubunge wa
Jimbo la Bukoba Mjini kupitia CHADEMA, Willfred Lwakatare, mara baada ya
kuzungumza na Wananchi wa Bukoba.
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia CHADEMA, Willfred Lwakatare,
akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa
Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba,
Mkoani Kagera leo Septemba 19, 2015.
Waziri
Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia wananchi kwenye Mkutano
wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika
kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera leo Septemba 19,
2015.
Aliekuwa
Meya Mji wa Bukoba, Anatory Amani akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni
za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa
AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera leo Septemba 19, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza na baadhi ya vingozi, mara
baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Mashujaa wa Bunazi, Jimbo la Nkenge,
Misenyi Mkoani Kagera leo Septemba 19, 2015.
Wananchi
wa Jimbo la Nkenge, Misenyi Mkoani Kagera wakimshangilia Mgombea Urais
wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, alipowasili kwenye eneo la Mkutano.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wa Jimbo la Nkenye,
Misenyi Mkoani Kagera leo Septemba 19, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Bw. Simon Andrew (55)
ambaye ni Mlemavu wa miguu, mkazi wa Kijiji cha Kilimilile, Kyaka
Wilayani Misenyi, Mkoa wa Kagera leo Septemba 19, 2015.
Post a Comment