Wasichana
wanaounda kundi la cute Babies kutoka Keko wilaya ya Ilala wakionyesha
mbwembwe zao wakati wa Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015
lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika
kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali
itakayofanyika mwezi wa kumi
Vijana
wanaounda kundi la The Winner Crews kutoka Kiwarani jijini Dar es
Salaam, wakikonga nyoyo za mashabiki waliojitokeza kwenye onyesho la
Nusufainali ya shindano la Dance 100% 2015, wakati wa Nusu fainali ya
shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na
Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay
Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi
matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi

Baadhi
ya mashabiki waliojitokeza kwenye nusu fainali ya shindano la Dance
100% 2015 wakifuatilia shindano hilo, wakati wa Nusu fainali ya
shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na
Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay
Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi
matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi
Kundi
la Wazawa crew la Tandale jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri
wao wa kusakata dansi wakati wa Nusu fainali ya shindano la Dance 100%
2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania
lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar
es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali
itakayofanyika mwezi wa kumi
Vijana
wanaounda Kundi la WDW la jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri

la Quality Boys la Temeke jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri

Majaiji
wakiwa kazini kwa ajili ya kupata makaundi matano bora yaliyoingia
fainali wakati wa Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015
lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika
kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali
itakayofanyika mwezi wa kumi.
Baadhi
ya Vijana wanaounda kundi la Majoker Crew la Msasani Wilaya ya
Kinondoni, wakikongo nyoyo za mashabiki wakati wa nusufainali ya
shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na
Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay
Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi
matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi.
Post a Comment