Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAGUFULI ALIVYOUNGURUMA MJINI BUKOBA


 Mgombea Urais wa wa Jamhuri ya Muunganano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe magufuli akiwahutubia wakazi wa Bukoba mjini kwenye kutano wa hadhara wa kampeni uliofamyika katika uwanja wa Gymkhana Bukoba mkoani Kagera kumsikiliza Dkt -John Pombe Magufuli.
Mgombea Urais wa wa Jamhuri ya Muunganano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe magufuli akiwahutubia wakazi wa Bukoba mjini kwenye kutano wa hadhara wa kampeni uliofamyika katika uwanja wa Gymkhana Bukoba mkoani Kagera kumsikiliza Dkt -John Pombe Magufuli.
 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Balozi Hamis Kagasheki akiwahutubia wananchi wa Bukoba na vitongoji vyake waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni wa Urais,ambapo Dkt John Pombe Magufuli aliwahutubia jioni ya leo mkoani Kagera.
 Wakazi wa Runazi wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM alipokuwa akiwahutubia wananchi wilayani Muleba mkoani Kagera jioni ya leo.
 Wakazi wa Muleba Mjini wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia wananchi hao jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wananchi hao jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
 Wakazi wa kijiji cha Nshamba wilayani Muleba wakimsilikiza mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa 
  Wakazi wa kijiji cha Nshamba wilayani Muleba wakimshangilia Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli mara baada ya kufunga barabara wakitaka kusikilizwa shida zao, alipokuwa akiwasili eneo hilo na kuwasalimia Magufuli alipokuwa 
 Mgombea Urais wa CCM akijinadi mbele ya wakazi wa Kamachumu,wilayani Muleba kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni ulifanyika jioni ya leo mkoani Kagera.
 Mgombea Ubunge wa jimbo la Bukoba vijijini,Ndugu Jasson Rweikiza akijinadi mbele ya wananchi wa Bukoba vijijini kuwaomba ridhaa ya kuliongoza jimbo hilo,kwenye mkutano wa kampeni.
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwapungia wakazi wa Bukoba mjini alipokuwa akiwasili  kwenye viwanja vya Gymkhana mkoani Kagera,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni. 
  Sehemu ya wananchi wa mji wa Bukoba waliohudhuria leo katika viwanja vya Gymkhana Bukoba mkoani Kagera wakimsikiliza Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni. 
 Sehemu ya wananchi wa mji wa Bukoba waliohudhuria leo katika viwanja vya Gymkhana Bukoba mkoani Kagera wakimsikiliza Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni
 
  Sehemu ya wananchi wa mji wa Bukoba waliohudhuria leo katika viwanja vya Gymkhana Bukoba mkoani Kagera wakimsikiliza Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni
 Sehemu ya wafuasi wa chama CCM wakifuatilia mkutano wa kampeni
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top