Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mheshimiwa Wilson Masilingi
akimkabidhi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo ya Utawala Bora ya
Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani na nchi
nyingine (East African Diaspora Business Council Award) leo, Jumatatu,
Septemba 21, 2015 mjini Washington, D.C. Balozi Masilingi ndiye
alimwakilisha Dkt. Kikwete katika sherehe ya kukabidhi tuzo hiyo usiku
wa jana, Jumapili, Septemba 20 kwenye Hoteli ya Hyatt Regency, Dallas,
Jimbo la Texas. (Picha na Freddy Maro).
Loading...
Post a Comment