Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji
mdogo wa Katoro kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya
Mnadani, mkoani Geita.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakiwapungia mkono maelfu ya
wakazi wa mji mdogo wa Katoro kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo
aliwaambia wananchi hao kuwa anataka kuijenga Tanzania mpya ya Viwanda,
pia katika serikali yake itaongeza maeneo ya wachimbaji wadogo na
kuwawezesha ili waweze kuchimba vizuri.
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Geita Ndugu Joseph Msukuma akihutubia wakazi wa Katoro
kwenye mkutano wa kampeni za CCM za kumnadi mgombea wa Urais wa CCM Dk.
John Pombe Magufuli.
Umati wa wakazi wa Katoro ukifuatilia mkutano wa Dk. John Pombe Magufuli.
Loading...
Post a Comment