Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia
maelfu ya wananchi atika mutano wa kampeni uliofanyika leo, katika eneo
la kwa Warioba, jimbo la Ukonga, Dar es Salaam. (Picha na Bashir
Nkoromo).
Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye mkutano huo.
Wasanii waliopo katika kampeni ya Mama Ongea na Mwanao mpigie kura Dk. Magufuli, wakiwa kwenye mkutano huo
Post a Comment