Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAMA SAMIA ALIVYOITEKA TANGA


Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Uwanja wa  Usagara jimbo la Tanga, leo


Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais Mama Samia Suluhu Hassan lipohutubia mkutanowa kampeni katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Uwanja wa Usagara jimbo la Tanga, leo
 Mgombea Ubunge jimbo la Bumbuli, January Makamba, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Uwanja wa Usagara jimbo la Tanaga, leo
 Aliyekuwa muwania Ubunge jimbo la Nkenge Asupta Mshama lakini hakupita katika kura za maoni za CCM, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika viwanja vya Usagara jimbo la Tanga, leo.
Naibu  Waziri wa Sheria na Katiba, Ummy Mwalimu, akihutubia mkutano wa kampeni uliofayika leo katika Viwanja vya Usagara jimbo la Tanga.
Mgobea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mgombea Ubunge jimbo la Tanga, Omari Nundu wakati wa mkutano wakampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo.
 Mgombea Ubunge jimbo la Bumbuli, Januari Makamba akiteta jambo na Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Ummy Mwalimi katika mkutano wa kampeni uliofayika leo katika Viwanja vya Usagara nje kidogo ya jiji la Tanga
Mratibu wa Mama Sema na Mwanao, Steven Mengere maarufu wa jina la Steve Nyerere, akifurahia jambo la Msanii wa Bongo Movie, Wema Sepetu wakati wa mkutano wa kampeni wa Mama Samia uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Usagara jimbo la Tanga, leo
 Wananchi wakiwa wamefurika barabarani kuzuia msafara wa mgombea Mweza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu hasani katika akienda kuhutubia mkutano wa kampeni kwenye viwanja vya Usagara nje kidogo ya jiji la Tanga, leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Muheza mkoa wa Tanga
 Mgombea Ubunge jimbo la Muheza, Adadi Rajab akiomba kura baada ya kunadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan (kulia) katika mkutano wa kampeni uliofayika katika jimbo hilo leo
Wananchi wakimshangilia Mgobea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia mkutano wa kampeni leo katika jimbo la Muheza mkoa wa Tanga
 Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Kigombe, Muheza mkoani Tanga leo
 Baadhi ya viongozi wa CCM wakiwa katika Kivuko cha Mv Pangani wakati msafara wa mgombea Mwenza wa Urais Mama Samia Suluhu Hassan ukienda jimbo la Bweni, katika jimbo la Pangani mkoa wa Tanga kuhutubia mkutano wa kampeni. Kuslia ni Ofisa Mwandamizi kutoka Makao Makuu ya CCM, Mama Chitinka.
 Kina mama wakikimbia kuwahi kumlaki Mgombea Mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili Bweni kuhutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Pangani mkoani Tanga leo
 Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Pangani, Mama  Regina Sonjo akihutubia mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo, katika eneo la Bweni jimbo la Pangani mkoani Tanga leo.
 Wananchi wakimsikiliza kwa makini Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Pangani mkoa wa Tanga
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akijadili jambo na Mgombea Ubunge jimbo la Pangani Jumaa Aweso  wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoa wa Tanaga. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Pangani Hamisi Mnegelo
 Makada wa CCM, wakijadiliana jambo pembeni ya mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika eneo la Bweni, jimbo la Pangani mkoa wa Tanga
 Hamida Nusus akiendeleza kuuza samaki nje ya nyumba yake, iliyopambwa kwa picha ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, katika eneo la Bweni jimbo la Pangani mkoa wa Tanga
 Vijana wanaojishughulisha na biashara ya kuendesha boda boda, wakisubiri wateja eneo la Bweni, ambako ndiko Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipita wakati wakienda kupanda kivuto kutoka eneo hilo kwenda Pangani leo
 Mlinzi akimsaidia kijana kusukuma beiskeli yenye mzigo wa ndizi baada ya kushuka kwenye kivuko cha Mv Pangani, akienda Bweni, Pangani mkoani Tanga leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan akiwa na baadhi ya viongozi baada ya kushuka kwenye kivuko ha Mv Pangani wakati wakitoka Bweni kwenda Pangani, kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika jimbo la Pangan mkoa wa Tanga. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga, Henry Shekifu
 Mgomea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia akisalimia wananchi baada ya kushuka kwenye kivuko hicho
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizwasili kuhutubia mkutano wa hadhara leo katika Viwanja vya Usagara jimbo la Tanga mjini leo
Wananchi wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Viwanja vya Usagara katika jimbo la Tanga mjini leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top