Mgomea Mwenza wa Uraus kwa tiketi
ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika
mkutano wake wa kampeni aliofanya leo katika Kata ya Buza, jimbo la
jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakimshangilia Mama samia kwenye mkutano huo.
(Picha na Bashir Nkoromo)


Post a Comment