Loading...
Mama wa Diamond Aongelea Kuhusu Mjukuu wake Kuwa si Mtoto wa Diamond
Weekend iliyopita mtoto wa Diamond na Zari aitwaye Tiffah alitimiza siku
40 na sura yake kuonyeshwa LIVE kwa mashabiki wao..255 ikaamua kupiga
stori na mama Diamond kujua anazungumzia nini kuhusu mjukuu wake kudaiwa
si damu yake..amesema yale yalikuwa ni maneno ya Magazeti..anasema
Mungu kawafedhehesha wote waliokuwa wakisema hivyo kwa kuwa mjukuu wake
ni kopy ya Diamond kuanzia pua, mdomo macho na pia anatabia zote
alizokuwa nazo Diamond.Diamond amesema kama mzazi lazima ajue jinsi ya
kuwa mbunifu kwa kutumia kampuni kubwa kama ambavyo amefanya kwa
mwanaye, anasema mtoto akiwa balozi wa kampuni yoyote inasaidia sana
katika kupunguza gharama na hata kumsaidia katika maisha yake ya
baadaye.
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA20 hours ago
-
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA20 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment