Mama akijaribu kumuogesha mwanaye kwenye fukwe hizo.
Vijana wakiogelea kwa kutumia ‘maboya’.
Vijana wakiwa na vifaa vya kuogelea baada ya kutoka kuogelea.
Michezo ya bahati nasibu ikiendelea kwenye fukwe hizo.
Baadhi ya watu waliofika kwenye fukwe hizo.
Nguo maalumu zinazokodishwa kwa ajili ya kuogelea na maboya.
Kijana akizunguka na farasi kwenye fukwe hizo.
(PICHA: MAYASA MARIWATA NA SHANI RAMADHANI)
on Thursday, September 24, 2015
Post a Comment