Mgombea
Urais wa Zanzibar Kupitia CCM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa
CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai alipowasili katika viwanja vya mkutano
vya Chokocho Wilaya ya Mkoani Pemba kwa ajili ya kampeni yake kwa
wananchi wa Jimbo hilo la Mkoani.
Mgombea
Urais wa Zanzibar kupitia CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali
Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Siasa jukwaa kuu baada ya kuwasili
katikac viwanja hivyo kwa ajili ya mkutano wake wa Kampeni katika
viwanja vya mpira Black Wizard Chokocho Wilaya ya Mkoani Pemba.
Wanachama
wa CCM wakimshangilia Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,
alipowasili katika viwanja vya Mkutano wake wa Kampeni Jimbo la Mkoani
Pemba.
Wanachama
wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika viwanja vya mkutano wa Kampeni ya
Urais wa Zanzibar kupitia CCM katika viwanja vya Mpira Black Wizard
Chokocho Pemba ,
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai, akizungumza na Wananchi
wa Wilaya Mkoani Jimbo la Mkoani Pemba akiwatambulisha Viongozi
waliofuatana na Dk Shein wakati wa Mkutano wake wa Kampeni Pemba.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi Pemba Mkoa wa Kaskazini Pemba Ndg Mberwa Hamad
Mberwa akizungumza wakati wa Mkutano huo wa Kampeni ya Urais wa Zanzibar
kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
WanaCCM
wakishangilia wakati wa Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar
kupitia CCM uliofanyika katika viwanja vya mpira Black Wizard Chokocho
Pemba Wilaya ya Mkoani.
Mhe
Zainab Omar akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Mkoanni wakati wa
Mkutano wa Kampeni ya Urais wa Zanzibar uliofanyika katika viwanja vya
Chokocho, kumuombea Kura Rais wa Zanzibar Dk Shein kwa Wananchi wa Pemba
ili kuendelea kupata maendeleo kupitia CCM.
Mhe
Pandu Ameir Kificho akiwasalimia Wananchi wa Pemba Wakati wa Mkutano wa
Kampeni ya Urais wa Zanzibar uliofanyika katika viwanbja vya Chokocho
Mkoani Pemba.
Mhe
Omar Yussuf Mzee akiwahutubia Wana CCM katika mkutano wa kampeni wa CCM
katika viwanja vya Black Wizard Chokocho Mkoani Pemba na kuwataka
wananchi kumchagua Mgombea wa CCM Dk Shein.
Viongozi
wa Jukwaa kuu wakiinua mikono wakati wa mkutano huo kuashiria kumpigia
kura Mgombea wa Urais wa Zanzibar mgombea wa CCM wakati wa mkutano huo
wa kampeni.
Mhe
Mohammed Aboud Mohammed akiwahutubia WanaCCM Kisiwani Pemba wakati wa
Mkutano wa Kampeni ya Urais kupitia Chama cha Mapinduzi kuelezea Sera za
CCM na mafanikio yaliopatika katika Uongozi wa Rais Dk. Shein, na
kuwataka kumchagua kwa mara ya Pili Dk. Shein kuendelea kuleta maendeleo
kwa Wananchi wake katika sekta mbalimbali za Jamii Zanzibar
Viongozi
wa Jukwaa kuu wakisimama wakati Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia
CCM Dk Ali Mohamed Shein, akipanda jukwaani kuwahutubia Wana CCM katika
mkutano wake wa kampeni kisiwanin Pemba uliofanyika katika viwanja vya
mpira vya black wizard mkoani Pemba.
Mgombea
wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia
Wananchi wa Jimbo la Mkoani kisiwani Pemba wakati wa mkutano wake wa
Pili kisimwani Pemba kuomba ridhaa za kuchaguliwa tena kwa mara ya pili
kuongoza Zanzibar kwa maendeleo ya Wananchi wa Zanzibar katika sekta
mbalimbali za kijamii.
Baadhi
ya Wanachama wa CCM Pemba wakimshangilia Mgombea wa CCM Dk Shein wakati
akiwahutubia katika viwanja vya black wizard chokocho Pemba, wakati wa
mkutano wake wa kampeni kisiwi humo.
Mwanachama
wa CCM akiwa katika viwanja vya kampeni akimsikiliza Mgombea wa CCM Dk
Shein akiwa na picha ya mgombea Urais wa Zanzibar wakifuatilia mkutano
huo.
Viongozi
wa meza kuu wakifuatlia hutuba ya Mgombea wa Urais wa CCM Dk Shein
wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya black
wizard chokocho Mkoani Pemba.
Wanachama
wa Chama cha Mapinduzi wakimshangilia Mgombea wao wa CCM wakati
akiwahutubia katika mkutano wake wa kampeni kisiwani Pemba katika
viwanja vya black wizard chokocho Mkoani Pemba.
Viongozi
wa Jukwaa kuu wakifuatilia mkutano wa kampeni wakati akihutubia
Wananchi wa kisiwani Pemba katika mkutano wa kampeni ya Urais wa
Zanzibar kupitia CCM.
Mgombea
Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Shein, akiwahutubia
Wananchi wa Pemba katika mkutano wake wa Kampeni kisiwani huo
uliofanyika katika viwanja vya mpira black wizard Chokocho Wilaya ya
Mkoani Pemba.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge kupitia Chama
cha Mapinduzi Jimbo la Mkoani Pemba Profesa Makame Mbarawa,wakati wa
mkutano huo wa kampeni katika viwanja vya mpira black wizard mkoani
Pemba.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge
Jimbo la Mtambile CCM Ndg Khamis Salum Khamis wakati wa mkutano huo wa
kampeni katika viwanja vya black wizard chokocho Pemba
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge
Jimbo la Kiwani CCM Ndg.Rashid Abdalla,wakati wa mkutano huo wa kampeni
katika viwanja vya black wizard chokocho Pemba
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge
Jimbo la Chambani Pemba Ndg. Mohammed Abdrahaman. Mwinyi,wakati wa
mkutano huo wa kampeni katika viwanja vya black wizard chokocho Pemba
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea
Uwakilishi Jimbo la Mkoani Pemba. CCM Ndg Mmanga Mgengo,wakati wa
mkutano huo wa kampeni katika viwanja vya black wizard chokocho Pemba
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea
Uwakilishi Jimbo la Mtambile Pemba. CCM Ndg. Mgaza Mohammed,wakati wa
mkutano huo wa kampeni katika viwanja vya black wizard chokocho Pemba
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea
Uwakilishi Jimbo la Chambani Pemba. CCM Bi.Bahati Khamis Kombo,wakati wa
mkutano huo wa kampeni katika viwanja vya black wizard chokocho Pemba
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea
Uwakilishi Jimbo la Kiwani Pemba. CCM Ndg Mussa Fumu Mussa,wakati wa
mkutano huo wa kampeni katika viwanja vya black wizard chokocho Pemba
Mgombea
Urais wa Zanzibar CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwatambulisha Wagombea
Udiwani katika Wilaya ya Mkoani Pemba kupitia CCM, kwa Wananchi na
kuwataka kuwapigia kura ya Ndio wakati wa uchaguzi Mkuu mwezom Oktoba
2015. wakati wa mkutano huo wa kampeni katika viwanja vya black wizard
chokocho Pemba
Mwanachama
wa CCM akiwa na vyazi lake la kitenge la jengo la ASP wakati huo kwa
sasa ni CCM akifuatlia mkutano huo, vitenge hivi vimetoka wakati wa
miaka ya 70 kisiwani Zanzibar.
Shekh
akisoma dua baada ya kumalizikia kwa mkutano wa mgombea wa CCM Dk Ali
Mohamed Shein, katika viwanja vya black wizard chokocho
Viongozi wa jukwaa kuu wakiitikia dua baada ya kumalizikika kwa mkutano wa kampeni ya Urais wa Zanzibar kupitia CCM.
Wananchi wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa mkutano huo wa kampeni ya Urais kisiwani Pemba.
Mgombea
Urais wa Zanzibar kupitia CCM akisalimiana na Vijana waliohidhuria
mkutano huo wa kampeni yake katika viwanja vya black wizard chokocho
Pemba.
Mgombea
Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na
Wazee wa Kijiji cha Chokocho kisiwani Pemba baada ya kumaliza mkutano
wake wa kampeni ya Urais katika Jimbo la Mkoani Pemba.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot. zanzinews.com
Post a Comment