Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akihutubia
umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni, uliofanyika leo katika mji
mdogo wa Mikindani mkoani Mtwara.
Wananchi
wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika mji mdogo
wa Mikindani mkoani Mtwara
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama
Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika
mji mdogo wa Mikindani mkoani Mtwara
Mgombea
Ubunge jimbo la Mtwara mjini, Murji Mohammed akiomba kura baada ya
kunadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu
Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika mji mdogo wa
Mikindani mkoani Mtwara
Wasanii wakichangamsha kwa muziki katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika mji mdogo wa Mikindani mkoani Mtwara leo
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan na Mgombea
Ubunge jimbo la Mtwara mjini, Murji Mohammed wakiwapongeza wasanii baada
ya kutumbuiza muziki uliosisimua wananchi wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika leo katika mji mdogo wa Mikindani mkoani Mtwara
Kada
nguri wa CCM, Kijana Mtera Mwampamba, akimuombea kura Mgombea Urais kwa
tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanyika
leo katika mji mdogo wa Mikindani mkoani Mtwara
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akimpongeza
Mtela Mwampamba baada ya kuhutubia katika mkutano wa kampeni
uliofanyika leo katika mji mdogo wa Mikindani mkoani Mtwara
Vijana
wakiwa wameparamia ukuta wa moja ya majengo ya kale, wakati wa mkutano
wa kampeni wa Mama Samia uliofanyika katika mji mdogo wa Mikindani
mkoani Mtwara leo
Mwanamuziki
wa msanii wa Bongo Movie, Snura akichangamsha mkutano kwa kuimba wimbo
wa kuifangilia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika
mji mdogo wa Mikindani mkoani Mtwara
Baadhi
ya wasanii wa Bongo Movie wakishiriki na wananchi wengine kuselebuka
muziki, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika mji mdogo wa
Mikindani mkani Mtwara
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika mji mdogo wa Mikindani mkoani Mtwara
Wasanii
wa kundi la Hapa ni Kazi Tu, wakionyesha umahiri wao walipotumbuiza
katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika mji mdogo wa Mikindani
mkoani Mtwara
Mratibu
wa 'Mama Sema na Mwanao' Steve Nyerere akiwa na kamarade, Ally Choky,
wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika mji mdogo wa
Mikindani mkoani Mtwara
Mgombea
Ubunge jimbo la Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia akiwa na mtoto
aliyepoteana na mama yake, kutokana na wingi wa watu waliofurika wakati
wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika mji mdogo wa
Mikindani mkoani Mtwara
Mgmbea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akipokea
wanachama wapya kutoka vyama vya upinzani, kikiwemo Chadema, katika
mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika mji mdogo wa Mikindani mkoani
Mtwara
Mama
Samia akiungana na vijana kuishangilia CCM baada ya kuwapokea
walipoamua kutangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika leo katika mji mdogo wa Kimindani mkoani Mtwara leo
"'CCM
Hoyeeeee" Kijana Rashid Njechele, akipaza sauti kwa kusema hivyo, baada
ya kutangaza kuhamia CCM kutoka CUF, wakati wa mkutano wa kampeni wa
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia (kulia),
uliofanyika leo katika mji mdogo wa Mikindani mkoani Mtwara
Baadhi
ya waandishi wa habari na maofisa wa CCM, wakiwa katika ndege, wakati
wa safari ya Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu
Hassan kutoka Mtwara kwenda Kisiwa cha Mafia kufanya mkutano wa kampeni
leo.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani akishuka
kwenye Ndege kwenye Uwanja wa Ndege wa Mafia, alipowasili kwa ajili ya
kufanya mkutano wa kampeni katika kisiwa hicho leo
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Maa Samia Suluhu Hassan akiwa na
baadhi ya viongozi waliomlaki kwenye Uwanja wa Ndege wa Mafia, baada ya
kuwasili kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni katika kisiwa hicho
leo
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia akisoma baadhi ya mabango
yaliyokuwa yamebebwa na wananchi kueleza matumaini yao kwake, wakati wa
mapokezi, alipowasili katika Kisiwa cha Mafia kuhutubia mkutano wa
kampeni leo. Kushoto ni Mgombea wa Ubunge katika jimbo hilo, Mbarak Dau
Aliyekuwa
Mbunge wa Mafia ambaye pia aliingia katika kinyan'ganyiro cha kuomba
ridhaa ya CCm kuwania tena ubunge wa jimbo hilo, Abdulkarim Shah,
akimnadi Mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo, Mbarak Dau, katika mkutano wa
kampeni uliofanyika leo katika katika Kisiwa hicho cha Mafia
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimpongeza
Kada wa CUF, Mohamed Albadawi, baada ya kutangaza kuhamia CCM katika
mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Mafia mkoa wa Pwani.
Albadawi awali alikuwa Mgombea Ubunge katika jimbo hilo kwa tiketi ya
CUF baada ya kuongoza katika kura za maoni, lakini baadaye akaenguliwa
na chama hicho na kupachikwa, Shomari Kimbau ambaye alihamia CUF baada
ya kushindwa katika kura za maoni za CCM
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akihutubia
mkutano wa kampeni leo katika Jimbo la mafia mkoa wa Pwani
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akimnadi
Mgombea Ubunge jimbo la MafiaMbarak Dau katika mkutano wa kampeni
uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoa wa Pwani
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia suluhu (Kushoto),
akishiriki kucheza muziki wa taarab uliokuwa ukitumbuizwa na nguli wa
muziki huo, Mzee mwishoni mwa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika
jimbo la Mafia mkoa wa Pwani.
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Post a Comment