Mlanguzi mkuu wa madawa ya kulevya Brazil, Mario Sergio Machado Nunes 'O Goiano' akiwa mikononi mwa wanausalama.
Mario Sergio Machado Nunes akiwa chini ya ulinzi.
wanausalama nchini Brazil baada ya kumtia nguvuni O Goiano.
WANAUSALAMA nchini Brazil wamemtia mbaroni mmoja wa walanguzi wakubwa wa madawa ya kulevya nchini humo.
Mario Sergio Machado Nunes, ambaye pia anafahamika kama 'O Goiano' amekuwa mafichoni tangu atoroke jela miaka miwili iliyopita.
Post a Comment