. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Kairuki akizuru eneo la Magereji Tegeta.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.
Angela Kairuki atembelea eneo maalumu la Mradi wa Gereji kwa Vijana Tegeta.
Eneo hili linajulikana kwa jina la Magereji kwakuwa ni eneo maalumu
lililotengwa kwa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa magari kutoka
mitaa mbalimbali jijini Dar es salaam.
Mhe. Angela Kairuki akiangalia
mitambo ya kisasa inayotumika kutengeneza magari katika eneo la Magereji
Tegeta.
Mhe. Angela Kairuki akizungumza na
Mafundi na wafanyakazi wa eneo la Magereji Tegeta.
Mafundi na wafanyakazi wa eneo la
Magereji Tegeta wakimsikiliza Mhe. Angela Kairuki.
Post a Comment