Kaimu
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB
Mkwizu anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Yakalawa Kondo – Msaidizi wa
Ofisi Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma (Pichani)
kilichotokea tarehe 21.09.2015 saa 3 usiku katika Kituo cha Afya cha
Vijibweni - Kigamboni. Mazishi yalifanyika tarehe 22.09.2015 saa 10
jioni katika makaburi ya Tungi Shule – Kigamboni.
“Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi, Am
Post a Comment