Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akutana na
wananchi wa Dar es salaam na kupokea malalamiko ya migogoro inayohusu
ardhi katika mkoa wa Dar es salaam tarehe 22 na 23, septemba, 2015
kuanzia saa 4.00 asubuhi makao makuu ya Wizara hiyo.
Katika
siku ya jana tarehe 22 septemba 2015 Mhe. Waziri amepokea malalamiko ya
wananchi kwa manispaa ya Kinondoni na leo tarehe 23 septemba 2015
atapokea malalamiko ya wananchi kwa manispaa ya Temeke na Ilala.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiongea na
wananchi wa Dar es salaam waliokuja kuwasilisha malalamiko yao kuhusu
migogoro ya ardhi, kulia ni naibu wake Mhe. Angela Kairuki na Kamishna
wa Ardhi Msaidizi kanda ya Dar es salaam Methew Nhonge, kushoto ni Kaimu
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Dkt. Selasie Mayunga na Kamishna wa Ardhi
Tanzania Dkt. Moses Kusiluka.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi naibu wake Mhe. Angela Kairuki na Kamishna wa Ardhi Msaidizi kanda ya Dar es salaam Methew Nhonge, wakipokea malalamiko ya wananchi wenye migogoro ya ardhi katika mkoa wa Dar es salaam.
Wananchi wa manispaa ya Kinondoni wakiwa katika mkutano huo.
Wananchi wa manispaa ya Kinondoni wakiwa katika mkutano huo.
Wananchi wa manispaa ya Kinondoni wakiwa katika mkutano huo.
Post a Comment