JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ARDHI,
NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
TANGAZO KWA UMMA
WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
INAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MHE. WAZIRI WA ARDHI ATAPOKEA
MALALAMIKO YA WANANCHI WENYE MIGOGORO INAYOHUSU ARDHI KATIKA MKOA WA DAR ES
SALAAM TAREHE 22 – 23, SEPTEMBA, 2015 KUANZIA SAA 4.00 ASUBUHI MAKAO MAKUU YA
WIZARA. KATIKA TUKIO HILO, MNATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO;-
1)
TAREHE 22 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA
WANANCHI KWA MANISPAA YA KINONDONI;
2)
TAREHE 23 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA
WANANCHI KWA MANISPAA YA TEMEKE NA ILALA;
3)
MALALAMIKO HAYO
YAWASILISHWE NA MUHUSIKA MWENYEWE NA SIYO MWAKILISHI;
4)
MALALAMIKO
AMBAYO YAMEKWISHA WASILISHWA MAHAKAMNI HAYATAPOKELEWA.
KATIBU MKUU
WIZARA YA ARDHI, NYUMBA
NA MAENDELEO YA MAKAZI
Post a Comment