Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Kahama kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo Mh James Lembeli na Joyce Mukya wanusurika kifo mara baada ya
gari waliokuwa wakitumia kusafiria kutoka Simanjiro kuelekea Arusha
kupata ajali na kupinduka.Taarifa za awali zinasema kuwa hakuna
hawakuumia lakini tutaendelea kuwajuza kadri habari inavyotufikia.Picha
na Mdau Massawe
CHANZO: LUKAZA BLOG
Post a Comment