Mgombea
urais wa chama cha Chadema Edward Ngoyai Lowassa ameitaka Tume ya Taifa
ya Uchaguzi Tanzania kumtangaza mshindi wa uchaguzi wa urais akidai
alishinda uchaguzi huo.
Tume
hiyo tayari imemtangaza mgombea wa chama tawala CCM John Pombe Magufuli
kuwa mshindi akipata asilimia 58.46 ya kura. Bw Lowassa amekuwa wa pili
na asilimia 39.97.
Post a Comment