Wananchi wa Makete waliofika kumsikiliza Edward Lowassa eneo la Mabehewani Makete Mjini
Mgombea
urais wa CHADEMA kupitia mwavuli wa UKAWA Edward Lowassa akisalimiana
na Askofu Mstaafu wa dayosisi ya kusini Kati Dkt Solomon Swallo
aliyefika katika mkutano wake
Mgombea
urais wa CHADEMA kupitia mwavuli wa UKAWA Edward Lowassa akisalimiana
na Msaidizi wa Askofu wa dayosisi ya kusini Kati Philemon Kahuka
aliyefika katika mkutano wake
Mzee Kingunge Ngombare Mwiru akizungumza na wakazi wa Makete katika viwanja vya mabehewani Makete Mjini
John Mrema wa CHADEMA akisisitiza jambo kwa wanamakete
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Freeman Mbowe akihutubia wananchi wa Makete
Sehemu ya wananchi wa Makete
Mgombea
Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA kwa mwavuli wa UKAWA Edward Lowassa
akitoa hotuba yake kwa wananchi wa Makete akiwaomba wamchague yeye kuwa
rais wa awamu ya tano
Lowassa akiendelea na hotuba yake
Mgombea
Ubunge jimbo la Makete kupitia CHADEMA Jackson Mbogela akitaja kero
tatu kubwa kwa wananchi wa Makete mbele ya Mgombea Urais Edward Lowassa
Lowassa akimnadi mgombea ubunge jimbo la Makete kupitia CHADEMA Jackon Mbogela
Baadhi ya wagombea Udiwani kata mbalimbali za wilaya ya Makete kupitia CHADEMA wakiombewa kura na Edward Lowassa
Lowassa akijiandaa kuondoka eneo la mabehewani mara baada ya kuomba kura kwa wananchi
Lowassa akiagana na makamanda wa CHADEMA ngazi ya wilaya
Chopa aliyokuja nayo Lowassa ikijiandaa kumbeba
Lowassa akiingia kwenye Chopa baada ya kumaliza mkutano wake Makete
Chopa ya Lowassa ikijiandaa kuondoka Makete
Picha zote na Edwin Moshi wa Eddy Blog
Post a Comment