Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LULU BADO HAJIWEZI KWA BIEBER


STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael amesema kuwa bado anateswa na penzi la staa wa muziki wa Pop, Justin Bieber na kwamba yupo tayari hata kuchukuliwa bure.

Staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu'.

Chanzo makini kiliitonya Amani kuwa, staa huyo uvumilivu umemshinda kila aonapo sura ya Bieber popote na hata majuzi alimng’ang’ania sana staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akionana naye amfikishie ujumbe kuwa anampenda.
“Imekuwa kero sasa, hivi karibuni alimtumia ujumbe Diamond kuwa akienda kwenye sherehe za upokeaji wa Tuzo za MTV EMA asisahau kumfikishia ujumbe Bieber kuwa hajiwezi kwake,” kilisema chanzo.
Lulu alipovutiwa waya juu ya kumpenda kwake Bieber alikiri kumpenda.
GPL
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top