Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasikiliza wananchi wa jimbo la Buchosa
mapema walipokuwa wakishamgilia mara baada ya kupanda jukwaani na
kuwasalimia,mkutano huo wa kampeni umefanyika mapema leo asubuhi katika
kijiji cha Nyehunge wilayani Sengerema mkoani
Mwanza.Pamoja na mvua kunyesha hapa hapa na pale katika maeneo hayo,Dkt
Magufuli anatarajia kuhutubia mkutano mkubwa wa kampeni katika jimbo la
Geita Vijjini katika kijiji cha Nkome.
Wakazi wa jimbo la Buchosa wakishangilia jambo wakati Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi mbele yao kuomba kura za kutosha ifikapo Oktoba 25 kwenye uchaguzi mkuu
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa jimbo la Buchosa
mapema leo asubuhi katika kijiji cha Nyehunge wilayani Sengerema mkoani
Mwanza.
Wakazi wa jimbo la Buchosa wakishangilia jambo wakati Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi mbele yao kuomba kura za kutosha ifikapo Oktoba 25 kwenye uchaguzi mkuu
Wakazi
wa jimbo la Buchosa wakiwa wamekusanyika kwenye mkutano wa kampeni wa
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
CCM,Dkt John Pombe Magufuli uliofanyika mapema leo asubuhi kijiji cha
Nyehunge wilayani Sengerema mkoani Mwanza.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John
Pombe Magufuli akimnadi Mgmbea Ubunge jimbo la Buchosa,Dkt Charles
Tizeba mapema leo asubuhi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Nyehunge
wilayani Sengerema mkoani Mwanza
Magufuli akiwasili kwenye mkutano wa kampeni,Nyehunge jimbo la Buchosa mapema leo mchana huku akishangiliwa .
Dkt Magufuli akiwasalimia wananchi wa Nyehunge jimbo la Buchoasa kwenye kutano wa kampeni wilayani Sengerema.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Kamanga
mapema leo asubuhi aliposhuka akitokea mkoani Mwanza kuelekea wilayani
Sengerema kuendelea na Mikutano yake ya kampeni
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa kijiji cha
Lwezera mara baada ya kupokelewa na viongozi mbalimali wa chama cha CCM
mkoa wa Geita,akielekea jimbo la Geita Vijijini kuhutubia wananchi
kwenye kutano wa kampeni
Wanamsikiliza Mgombea Urais wa CCM alipokuwa akimwaga sera zake kwa wakazi wa kijiji cha Lwezera,Geita vijijini
Post a Comment